SUPU YA ULIMI WA NG'OMBE



Mahitaji

  • Ulimi wa ng'ombe
  • Soy sauce
  • Ndimu
  • Kitunguu saumu
  • Chumvi
  • Pilipili mbuzi
  • Karoti
  • Maji

Maelekezo

  1. Nunua ulimi ambao umeshatengenezwa kabisa.
  2. Bandika sufuria jikoni, weka ulimi, weka chumvi, kamulia ndimu, weka vitunguu saumu na karoti.
  3. Kata karoti vipande vidogo na vyembamba.
  4. Weka maji ya kutosha .Funika Sufuria na mfuniko.
  5. Ikikaribia kuiva weka soy sauce, hii inasaidia kuongeza ladha kwenye supu.
  6. Onja kama nyama imeiva, kama tayari weka pilipili. Vilevile unaweza kuongeza pililipi ukishaipua supu toka jikoni.
  7. Supu yako itakuwa tayari hapo jilambeee 

Post a Comment

[blogger]

MKRdezign

Blogger Widgets

Contact Form

Name

Email *

Message *

Powered by Blogger.
Javascript DisablePlease Enable Javascript To See All Widget